Asalam Aleykum Waraham Tulah Taala Wabaraqat
Ramadhani ni Mwezi Mtukufu wa Kufanyiana Wema na Ihsani, usisahau kuwasaidia Yatima masikini,wajane
Kwa Sadaka ya Sh 30,000 Tu.
Ungana nasi kuwasaidia wahitaji, Tumeandaa kifurushi cha bidhaa za vyakula kwa Iftar kwa wahitaji ambapo tutazigawa kila baada ya Swala ya Jumaa katika Misikiti mbalimbali Dar es Salaam kwa kadri tutakavyojaliwa
Kifurushi (package) moja inakuwa vitu vifuatavyo;
1Kg Mchele, 1Kg Sukari,
1pc Chumvi, 1Kg Karoti,
1Kg Vitunguu, 1Kg Nyanya,
1Fungu Mihogo, 1fungu Magimbi,
1kg Tambi, 1 Nazi
WABILAH TAWFIQ
RAMADAN MUBARAK