Mabungo – (10 pcs small size)

Sh2,500

Bungo au Mabungo

Faida za Bungo, ni tunda lenye wingi mzuri wa Vitamini C – huimarisha kinga ya mwili, na vilevile hutoa nishati ya haraka kwa mwili lakini pia ni matunda ya kuburudisha kwa kutengeneza juice, hasa wakati wa joto.

  Ask a Question
Category: Tags: , ,